Senegal walitwaa ubingwa wa AFCON 2025 baada ya kuifunga Morocco 1-0 katika fainali iliyojaa drama mjini Rabat. Mchezo ulianza kwa kasi lakini kipindi cha kwanza kikaisha bila mabao kutokana ...
UONGOZI wa Pamba Jiji umemalizana na aliyekuwa beki wa kati wa Mbeya City, Gabriel Mwaipola ambaye anaenda kuziba pengo la ...
NYOTA wa zamani wa Simba, Edward 'Edo' Christopher yupo hatua ya mwisho kabla ya kurejea tena uwanjani baada ya kuwa nje kwa ...
WAKATI yupo shule anasoma, hadi kipindi anakwenda kujiunga na West Ham United, Michael Carrick alikuwa akicheza nafasi ya ...
Mechi hiyo ilikuwa ya kwanza kwa Barker katika Ligi Kuu Bara tangu aanze kuifundisha Simba huku ikiwa ya sita kwa timu hiyo ...
Katika Ligi (kabla ya jana) Yanga ndiyo timu iliyoruhusu mabao machache ambalo ni moja katika ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya ...
MASHINDANO Maalumu ya Gofu ya Dar es Salaam Mzizima 'Lions play for Sight' yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Gymkhana ...
KIUNGO mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Fredrick Magata amesema kufunga bao katika mechi ya Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi hicho ...
Nyota wa Senegal, Sadio Mane amesema kuwa aliamua kuwakataza wenzake kugomea mechi ya fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Morocco ...
XABI Alonso inaripotiwa kufikiwa kwa ajili ya kurejea kwenye kazi ya ukocha, ikiwa ni wiki moja baada ya kufukuzwa na Real ...
LICHA ya dau zuri alilowekewa mezani na Yanga ili kuvaa jezi ya njano na kijani msimu huu, kipa wa Pamba Jiji, Yona Amos ...
CHELSEA imeiambia Real Madrid ipo tayari kumuuza kiungo wao wa kimataifa wa Argentina, Enzo Fernandez mwenye umri wa miaka 25 ...